NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Baisa afunguka kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kutoa
wimbo wa #JUST alitoa nafasi ya albam yakwanza kwenye mauzo hivyo ameamua
kuutoa wimbo huu kutokana na uzinduzi wa albam mpya inayo tarajiwa kuzinduliwa
hivi karibuni.
Aidha wimbo wa #JUST uli rekodiwa mwezi Desemba
mwaka jana na anatarajia kuuzindua rasimi mwishoni mwa mwezi huu na ukiwa ni wimbo wa kwanza na mmoja kati ya
nyimbo zitakazo patikana katika albam inayo tarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa
mwezi juni.
Vilevile amesema kuwa wimbo huu wa #JUST ni wimbo
bora kuliko nyimbo zote alizo wahi kufanya tangiapo aanze kuimba.
Pia amemaliza kwa kuwaomba wadawa kutoa ushirikiano
ikiwemo kununua wimbo huo,kutembelea channel yake ya YouTebe @BAISA MHELA Ifikapo
tarehe 24/4/2018 ili kubarikiwa na wimbo huo.


0 Maoni