NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Msanii H.Boy mtoto wa Mwax amefunguka haya “Napenda
kuwashkuru mashabiki wangu kwa kuendelea kunipa support kwenye wimbo wangu mpya
wa #SO WHY Na mziki wangu kwa ujumla bila nyinyi mimi siyo kitu kwa support
zenu nitafika mbali”.
Muziki wa #SO WHY Ni muziki unao fanya vizuri sana
mkoani morogoro kwa sasa na unasikika kupitia vituo mbalimbali mkoani humo
pamoja na mitandao mbalimbali ya kijamii.
Pia amemaliza kwa kuwaomba mashabiki pamoja na
vyombo mbalimbali nchini kusupport muziki wake ili kuukuza kitaifa na baadae
kimataifa pamoja na kutembelea mitandao mbalimbali ya kijami @h_boy_tanzania


0 Maoni