Mwafrika Digital

https://youtu.be/ArXfq-5TVWA Subscribe Mwafrika TV

KATAVI

Wakulima wa kilimo cha tumbaku mkoni humo wamelalamikia ucheleweshwaji wa masoko ya zao hilo kinyume na kauli aliyo itoa raisi Dkt John Joseph Pombe Magufuli kipindi cha kampeni mwaka 2015 wakati alipo kua akifanya kampeni mkoani humo.
    Mmoja wa wakulima hao Joseph Andrew Habona amesema kua masoko ya zao hilo kwa mwaka huu yamechelewa sana jambo ambalo linapelekea tumbaku hiyo kuendekea kukaa sana kwenye maghala wakati huohuo ikiwa inana haribika.
       Ameongeza kusema kwamba ucheleweshaji wa masoko ya zao hilo imepelekea wananchi hao kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kwakua kilimo hicho ni tegemezi kwao ikiwemo kusomesha watoto wao na mambo mengine ya kimaendeleo.
        Pia ameiomba serikali kuliangalia swala hilo kwakua tumbaku yao isipo uzika mapema hali itazidi kuwa mbaya hasa kwa watoto wao ambao wanasomeshwa kwa kutehmgemea zao hilo.

     # Mc Goodluc

Chapisha Maoni

0 Maoni