Songambele___Army ministry....burundi: http://youtu.be/vrAkgPtmAlM
Huu niwimbo mzuri wenye ujumbe mzuri kutoka kwa kikundi cha kwaya kiitwacho Army Ministry kutoka nchini Burundi ni moja kati ya kwaya au kikundi kinacho fanya vizuri inchini Burundi na Afrika mashariki kwa ujumla yote ikiwa ni katika kuihuberi injili kwa njia ya nyimbo mbalimbali kote duniani.

0 Maoni