Mwafrika Digital

https://youtu.be/ArXfq-5TVWA Subscribe Mwafrika TV

BREAKING NEWS

Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde ajari imetokea mkoani morogoro asubuhi ya leo ambayo imehusisha Treni na basi dogo aina ya Costa, idadi ya majerihi na waliofariki bado haijatambulika vizuri tutakuletea habari kiundani tutakapo pata idadi kamili endelea kutembelea Plan Media

Chapisha Maoni

0 Maoni