
Hispania.
Raia wa Catalonia leo hii watachagua viongozi wao wapya, katika uchaguzi ambao serikali kuu ya Uhispania inaamini utamaliza msuguano wa kisiasa unaoendelea.
Serikali kuu ya Madrid iliuvunja utawala uliokuwepo awali,
baada ya kuandaa kura ya maoni iliyotajwa kuwa haikufuata kanuni, iliyotaka
uhuru wa eneo hilo.Watu wengi wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huuWatu
wengi wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huu
Rais wa Catalonia aliyeondolewa madarakani, Carles
Puigdemont, amekuwa akiendeleza kampeni zake za kujitenga na Madrid akiwa
uhamishoni chini Ubelgiji kwa kupitia mitandao ya kijamii.
Mwezi Oktoba yalifanyika maandamano makubwa ya Catalonia
kutaka kujitenga na HispaniaTakwimu zinaonyesha kuwa vyama vinavyotaka
kujitenga na vile vinavyotaka kusalia kwenye serikali ya Madrid vinalingana
katika kura za maoni.
oniaKiongozi wa Catalonia aliyefutwa "aenda Ubelgiji"Mwandishi wa BBC wa eneo hilo anasema kuna kila dalili uchaguzi huu ukaibua tena hisia za kutaka kujitenga kuliko

0 Maoni