NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Msani chipukizi wa nyimbo za kumsifu Mungu anae
fahamikakwa jina la Tuponile Komba afungukab na kusema kuwa ukimya wake
unatokana na kubanwa na majukumu ya
kiserikali pamoja na ujasiliamali ili kujitengenezea kipato kinacho muwezesha
kuusogeza muziki wake.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na PLAN MEDIA TV
Kwanja ya simu hivi karibuni na kutaja moja kati ya changamoto kubwa anayo
kabiliana nayo kwa sasa ni majukumu ya kazi yake ya uasikari polisi jambo
linalo sababisha mashabiki kumpata marakwamara.
Tupoline ameendelea
kufunguka kwa kuahidi kuachia kazi mpya hivi karibuni ikiwemo kuachia
albam mpya inayo enda kwa jina la Kicheko.
Tuponile amemaliza kwa kuwaomba mashabiki kuwa
wavumilivu kwa kipindi hiki ambacho yuko kimya lakini pia kutoa ushauri na
kusambaza kazi zake kwa mataifa ili wote waweze kuzipata kazi zake.


0 Maoni