NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Muimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania anae
fahamika kwa jina la BAISA MHELA atangaza siku mbili za kuachia video ya wimbo
wake mpya inayo enda kwa jina la Just, ameyasema hayo mapema leo wakati wa
mahojiano na PLAN MEDIA TV.
Baisa ameendelea kuzungumza na kusema kuwa wimbo huo
ni bora kuliko nyimbo zote ambazo aliwahi kufanya tangiapo aanze kuimba nyimbo
hizo za kumsifu Mungu.
Pia amemaliza kwa kuomba mashabiki kuupokea wimbo
huo pamoja na ku subscribe channel yake @BAISA MHELA ili kuwa karibu nae kujua
kile kinacho endelea kuhusiana na wimbo huo kuazia sasa.





0 Maoni