Mwafrika Digital

https://youtu.be/ArXfq-5TVWA Subscribe Mwafrika TV

MWANA HARAKATI ZODIAC KBT ATANGAZA HAYA HAPA

NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Mwana harakati na mwana mziki wa hipopo Tanzania anae fanya vizuri kwa sasa ametangaza kuachia ngoma baada ya ngoma kuanzia mwezi huu wanne ngoma ambazo ni za kuelimisha pamoja na kuijenga jamii yetu ya kitanzania.

Msani huyo ameomba ushirikiano kutoka kwa mashabiki ili kuzifikisha ngoma zake mijini na vijiji iki kuwafikia wanajamii wote kwani ngoma zake zina walenga wanajamii wenyewe hivyo anategemea sana jamii iweze kumpokea naujio wake huo.

Vilevile ameviomba vyombo vya habari kutoa ushirikiano wa kutosha ili kuosogeza muziki wake kwenda mbele zaidi kwani lengo lake ni kuielimisha jamii yake kwa ujumla na si vinginevyo.


Pia amemaliza kwa kusema kuwa mpaka sasa kuna ngoma kadhaa amesha ziandika na anaendelea kuziingizia sauti hivyo muda wowote ataanza kuzitoa kama alivyo pangilia kutoa ngoma baada ya ngoma.

Chapisha Maoni

3 Maoni