NA,GOODLUCK CHRISTOPHER
Mwana harakati na mwana mziki wa hipopo Tanzania
anae fanya vizuri kwa sasa ametangaza kuachia ngoma baada ya ngoma kuanzia
mwezi huu wanne ngoma ambazo ni za kuelimisha pamoja na kuijenga jamii yetu ya
kitanzania.
Msani huyo ameomba ushirikiano kutoka kwa mashabiki
ili kuzifikisha ngoma zake mijini na vijiji iki kuwafikia wanajamii wote kwani
ngoma zake zina walenga wanajamii wenyewe hivyo anategemea sana jamii iweze
kumpokea naujio wake huo.
Vilevile ameviomba vyombo vya habari kutoa
ushirikiano wa kutosha ili kuosogeza muziki wake kwenda mbele zaidi kwani lengo
lake ni kuielimisha jamii yake kwa ujumla na si vinginevyo.
Pia amemaliza kwa kusema kuwa mpaka sasa kuna ngoma
kadhaa amesha ziandika na anaendelea kuziingizia sauti hivyo muda wowote
ataanza kuzitoa kama alivyo pangilia kutoa ngoma baada ya ngoma.


3 Maoni
Yuko poa mtu wangu zodiac
JibuFutaKaza !Mzee unaweza💪💪
JibuFutaKaza !Mzee unaweza💪💪
JibuFuta