Hii ni nukuu ya maneno ambayo yalizungumzwa na raisi wa awamu ya tano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wanainchi.
Alizungumza maneno hayo baada ya watu kuzungumza kwa namna tofauti tofauti juu ya rasirimali za nchi baada ya ripoti yapili ya mchanga wa madini kutoka Ikulu jijinini Dar es salaam.
Aliongea maneno mengingi juu ya swala hili lakini yafuatayo hapo pichani ni miongoni mwa aliyo yazungumza.
#Mc Goodluck

0 Maoni