Kwa taarifa iliyotufikia nikwamba kuna taarifa zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba basi linalo fanya safari zake za Dar es laam - Mbeya kampuni ya SAIBABA XPRESS limepinduka majira ya jioni mkoani mbeya katikati ya Igurusi na Chimala wakati likitokea mkoni Dar es salaam kuelekea mbeya chanzo cha ajali hiyo inadhaaniwa kuwa ni dereva wa basi hilo kujalibu kulipita rori akapoteza mwelekeo na kisha kupinduka athari za ajali hiyo bado hazi ja julikana tutakuletea taarifa kamili tutakapo thibitisha hili. Endelea kufatilia Plan Media kwa undani wa taarifa hii na nyinginezo nyingi.
Source: Mitandao ya kijamii.

0 Maoni