Wakazi wa buguruni mkoani Dar es salaam walalamikia ongezeko la ada ya uzoaji wa taka kutoka shilingi elfu tano (5000) hadi shilingi elfu saba (7000) katika hali isiyo ya kawaida wakazi hao walalamikia serikali ya mtaa huo kwa ongezeka hilo la shilingi elfu mbili (2000).
Wakati wa mahojiano na mwandishi wetu wakazi hao wameiambia plan media kuwa mbali na ongezeko la ada hiyo wamekua wakicheleweshewa gari za kubebea takataka ambapo inapelekea kuwepo kwa mrundikano wa takataka ambazo husababisha madhara kiafya.
Plan media ilimtafuta mwenyekiti wa mtaa Ndugu.Karim Marapa alisema kuwa nikweli ada imepanda katika uzoaji taka ikiwa ni makubaliano ya serikali ya mtaa pamoja na wananchi wake.
Aliendelea kuzungumza ndugu Marapa kuwa wananchi wananchi wanatakiwa kuwa na uvumilivu na serikali yao kwani kero zao zinafanyiwa kazi hivyo ni vizuri wakatoa ushirikiano ili kuisaidia serikali kuwatimizia yale waliyo waahidi.
Mwisho kabisa ni maoni ya mwananchi ambapo mwandishi wetu alipata kuzungumza na Ndugu.Beshe Buhira ambae ni mkazi wa mtaa huo alisema kuwa anawaomba wahusika wa ukusanyaji wa takataka katika mtaa huo waongeze bidii katika kazi yao ili kuhakikisha wanajenga uhusiano mzuri na wananchi.

55 Maoni
Enter your comment...Hii ndiyo Tanzania yetu, ufuatiliaji upo ktk ngaz za juu ukija ktk ngaz za chini bado ni madudu
JibuFutaAsante, wazo lako; nini kifanyike?
FutaHili ni swala la wakazi na serikali yao kukaa wafikie mwafak
FutaAsante ndugu @Obby Tz kwa comment yako
JibuFutaHi, I am Subhash to follow your website and get these all useful posts. Thank you so much and for you all the best. That is a great job.
JibuFutadigital marketing company in india
Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.
JibuFutaChapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

JibuFuta