Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mh January Makamba
aahidi kulipa mshahara kwa wachezaji wote pamoja na huduma mbalimbali kama vile
chakula na Usafiri kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Mbunge huyo na Mdau mkubwa wa Coastal Union aliyasema
hayo septemba 17,mwaka huu katika uwanja wa Ccm Mkwakwani Mkoani Tanga mara
baada ya kumalika mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza ambao uliwakutanisha wenyeji Coastal Union dhidi ya Mbeya Kwanza ya
Mkoani Mbeya.
Hata hivyo Makamba awahakikishia mashabiki na
wapenzi wa Coastal Union kushikamana nao ilikuhakikisha Timu hiyo inarudu
katika enzi zake “Kwa imani yangu ni kwamba ambapo siku
ya leo nimepata bahati ya kuhudhuria mchezo ambapo timu yetu sasa inatakakurudi
katika enzi zake imani yangu ni kwamba safari hiyo itakamilika vizuri na mimi kama mshabiki
lakini kama kiongozi wa Tanga nimewaambia Viongozi wa Coasta union kuwa safari
hii Timu yetu wachezaji hawata kosa mishaara,chakula wala pesa ya kusafiri”
Alisema Mh Makamba.
Na mchezo huo ulimalizika kwa timu ya Coastal union
kuibuka na ushindi wa Goli moja kwa sifuri,goli ambalo limefungwa na Raidhim
Haffidh mnamo dakika ya pili ya nyongeza katika kipindi cha kwanza.

0 Maoni