TUNDU LISSU APIGWA RISASI
Mbunge wa Singinda Mashariki [CHADEMA] na Raisi wa Chama Cha
Wanasheria Tanganyika [TLC] Mh.Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
mjini Dodoma.
Lisu alipelekwa katika hispitali ya lufaa
mkoani Dodoma ambapo kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Hh. Freeman Mbowe,
Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila na
viongozi wengine walifika katka hispitali hiyo kumjulia hali.
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma wajitokeza
kwa wingi katika hospitali hiyo huku wakitahamaki na kulaani tukio hilo la
kinyama.


0 Maoni